Kusoma

Kusoma kwa ufasaha kwa kutumia misingi ya usomaji
♿ Accessibility: | | | |

Kusoma kwa ufasaha kwa kutumia misingi ya usomaji

Kusoma kifungu cha habari kwa muundo stahili na hisia ili kujenga ufasaha wa kusoma.
Usomaji wa kifungu cha habari kwa mwendo stahili na hisia ili kujenga ufasaha unafanyika kwa usahihi.
Kusoma hadithi rahisi ili kuendeleza ufasaha katika kusoma
Usomaji wa hadithi rahisi ili kuendeleza ufasaha unafanyika kwa usahihi.
Kusoma hadithi fupi kwa kuzingatia alama za uandishi [mkato (,) , nukta (.), alama ya kuuliza (?) na mshangao (!)] kujenga ufasaha wa kusoma.
Usomaji wa hadithi fupi kwa kuzingatia alama za uandishi unafanyika kwa usahihi.
Kusoma kwa kutembeza macho haraka katika mistari iliyounda kifungu cha habari ili kujenga ufasaha wa kusoma
Usomaji wa kutembeza macho haraka katika mistari iliyounda kifungu cha habari ili kujenga ufasaha wa kusoma
Kusoma kwa ufasaha herufi, silabi, maneno, sentensi kwa kutumia chati na vifungu vya habari
Usomaji wa herufi, silabi, maneno na sentensi kwa kutumia chati mbalimbali na vifungu vya habari unafanyika kwa ufasaha.
Listening to this topic