Kusoma
Kutambua herufi
Kutambua herufi
Kutenganisha maneno yanayoundwa na herufi mwambatano na maneno sahili katika sentensi.
Utenganisha wa maneno yanayoundwa na herufi mwambatano na maneno sahili katika sentensi unafanyika kwa usahihi.
Kuunganisha maneno yenye kuundwa na herufi mwambatano na maneno sahili ili kuunda sentensi.
Uunganishaji wa maneno yenye kuundwa na herufi mwambatano na maneno sahili ili kuunda sentensi unafanyika kwa usahihi.
Kutenganisha silabi za herufi mwambatano na silabi sahili katika maneno yaliyoundwa na silabi tatu.
Utenganishaji wa silabi za herufi mwambatano na silabi sahili katika maneno yaliyoundwa na silabi tatu unafanyika kwa usahihi.
Kuunganisha silabi za herufi mwambatano na silabi sahili katika kuunda maneno yenye silabi tatu.
Uunganishaji wa silabi za herufi mwambatano na silabi sahili katika kuunda maneno yenye silabi tatu unafanyika kwa usahihi.
Kutenganisha sauti za herufi mwambatano na irabu zinazounda silabi.
Utenganishaj i wa sauti za herufi mwambatano na irabu zinazounda silabi zinafanyika kwa usahihi.
Kuungaisha sauti za herufi mwambatao na irabu katika kuunda silabi.
Uuganishaji wa sauti za herufi mwambatao na irabu katika kuunda silabi kwa usahihi
Kuhusianisha sauti na herufi mwambatano (dhDH, thTH, ng'NG', mbwMBW, ngwNGW, chwCHW, ndwNDW) kwa kutumia kadi za herufi mwambatano.
Uhusianishaji wa sauti na herufi mwambatano ( dhDH, thTH, ng'NG', mbwMBW, ngwNGW, chwCHW, ndwNDW) kwa kutumia kadi za herufi mwambatano unafanyika kwa usahihi.
Kutengaisha maneno yanaounda sentensi.
Utenganishaji wa maneno na kutamka maneno yanayounda sentensi unafanyika kwa usahihi.
Kuunganisha maneno iii kuunda sentensi.
Utenganishaji na utamshaji wa silabi zinazounda maneno yenye silabi tatu unafanyika kwa usahihi.
Kutenganisha na kutamka silabi zinazounda maneno yenye silabi tatu.
Utenganishaji na utamkaji wa silabi zinazounda maneno yenye silabi tatu unafanyika kwa usahihi.
Kuhusianisha sauti na konsonanti (bB, mM, kK, dD, nN); (IL, tT, pP, sS, tF,jJ); (gG, yY, zZ, hH, rR, wW, vVchCH) kwa kutumia kadi za herufi.
Uhusianishaji wa sauti na konsonanti unafanyika kwa usahihi kwa kutumia kadi za herufi.
Kutenganisha sauti za irabu zinazounda maneno yenye silabi mbili.
Sauti za irabu zinazounda maneno yenye silabi mbili zinatenganishwa kwa usahihi.
Kuunganisha silabi mbili zinazoundwa na sauti za irabu ( a, e, i, o, u) na kuunda maneno yenye maana.
Silabi mbili zinazoundwa na sauti za irabu zinaunganishwa na kuunda maneno yenye maana sahihi.
Listening to this topic