Kusoma
Kutambua Sauti mbalimbali katika Mazingira
Kutambua Sauti mbalimbali katika Mazingira
Kubaini sauti za mwanzo za maneno.
Ubainishaji wa sauti za mwanzo za maneno unafanyika kwa usahihi.
Kubaini silabi katika maneno yaliyoundwa na silabi mbili.
Ubainishaji wa silabi zilizounda maneno yenye silabi mbili unafanyika kwa usahihi.
Kubaini maneno yanayounda sentensi kwa kupiga makofi.
Ubainishaji wa maneno yanayounda sentensi tofauti kwa kupiga makofi unafanyika kwa usahihi.
Kubaini sauti zitolewazo na viungo vya mwili na vifaa vingine vinavyotoa sauti.
Sauti zitolewazo na viungo vya mwili na vitu vingine vinavyotoa sauti zinabainishwa kwa usahihi.
Kubaini sauti za wanyama na ndege.
Sauti za wanyama na ndege zinabainishwa kwa usahihi.
Listening to this topic