Kusoma

Kutambua sauti zinazounda maneno
♿ Accessibility: | | | |

Kutambua sauti zinazounda maneno

Kuunganisha sauti zinazounda maneno yenye silabi tatu kutokana na maneno yaliyotamkwa kwa kutenganishwa
Uunganishaji wa sauti zinazounda maneno yenye silabi tatu kutokana na maneno yaliyotamkwa kwa kutenganishwa.
Kubainisha kwa kutaja sauti za mwanzo na sauti za mwisho katika maneno yenye silabi tatu.
Kubainisha kwa kutaja sauti za mwanzo na sauti za mwisho katika maneno yenye silabi tatu unafanyika kwa usahihi.
Kubaini kwa kutamka sauti zilizounda maneno teule.
Ubainishaji kwa kutamka sauti zilizounda maneno teule unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic