Uraia Darasa la VII Syllabus

    1. Kujipenda na Kuwapenda Wengine
      1. Matendo Yasiyofaa katika Jamii
      2. Kutenda kulingana na Maelezo
      3. Matendo Yanayohatarisha Usalama Binafsi
    2. Upendo Binafsi na kwa Watu Wengine
      1. Misaada ya Mahitaji ya watu mbalimbali na Umuhimu wake
      2. Faraja kwa Watu Wenye Uhitaji
    3. Upendo wa Kujivunia Shule
      1. Muundo wa Uongozi wa Shule
      2. Sheria na Kanuni za Shule
      3. Shughuli za Kuiletea Sifa Shule
    4. Uzalendo wa Shule
      1. Misaada mbalimbali ya Kuleta maendeleo mbalimbali katika Shule
      2. Kujitolea
      3. Njia za Kuitangaza Shule kwa Watu wengine
    5. Upendo wa Nchi na Asili Yake
      1. Kuchora Alama za Taifa
      2. Muundo wa Serikali za Mtaa/Kijiji
    6. Uzalendo wa Nchi ya Tanzania
      1. Kudumisha Amani katika jamii
      2. Vitendo vinavyoashiria Uhuru na Umoja wa Taifa
      3. Utu
    1. Kujijali na Kujali Wengine
      1. Tabia Hatarishi kwa Afya, Familia na Jamii
      2. Matendo ya Kujijali
      3. Matendo ya Kujali Familia
      4. Tabia zinazoleta Uharibifu wa Mazingira katika Jamii
      5. Utunzaji wa Mazingira
      6. Usafi wa Mazingira katika Jamii
      7. Vitendo vya Kujenga Urafiki Mwema
    2. Kujijali na Kuwajali wengine katika Jamii
      1. Afya ya Uzazi
      2. Zimamoto na Uokoaji
    3. Utunzaji wa Mazingira
      1. Uharibifu wa mazingira na namna ya kutatua changamoto hizo
    4. Uhusiano mzuri katika Jamii
      1. Matendo ya Kujenga Uhusiano mzuri
      2. Vitendo vinavyoharibu uhusiano mzuri
    5. Misaada mbalimbali ya Kuleta Maendeleo mbalimbali katika Shule
    6. Kujitolea
    7. Njia za Kuitangaza Shule kwa Watu Wengine
    1. Asili za Watu Tofauti katika Jamii
      1. Asili za Makabila Tanzania
      2. Utambuzi wa Watu wa Asili Tofauti katika Jamii
    2. Kuchangamana na Watu Tofauti
      1. Uhusiano wa Watanzania na Mataifa Mengine
      2. Fursa Mbalimbali Nchini na Uhusiano na Mataifa Mengine
    3. Utamaduni
      1. Sifa Chanya za Utamaduni wa Jamii Mbalimbali
      2. Changamoto za Mwingiliano wa Tamaduni
    4. Utamaduni na Mitazamo katika Jamii
      1. Zana za Utamaduni wa Tanzania
      2. Umuhimu wa Utamaduni wa Taifa
      3. Tamaduni za Watu Wengine
    5. Ujirani Mwema
      1. Majukumu ya Mabalozi wa Tanzania katika Kujenga Uhusiano Mwema na Mataifa Mengine
    6. Urafiki Mwema na Mataifa Mengine
      1. Njia za Kuboresha Mahusiano na Mataifa Mengine
      2. Ukarimu kwa Mataifa Mengine
      3. Misingi ya Urafiki Mwema baina ya Tanzania na Mataifa Mengine
      4. Dhana ya Utandawazi