Kiswahili Darasa la IV Syllabus

    1. Mazungumzo Katika Mikatadha Mbalimbali
      1. Maneno Yanayobeba Maana ya Jumla
      2. Vitendawili
      3. Methali
      4. Kulinganisha Vitu kwa Kuzingatia Ukubwa na Udogo
      5. Nahau
      6. Rangi za Vitu Mbalimbali
      7. Kueleza Watu na Shughuli Zao
      8. Matukio Mbalimbali kwa Kutumia Nyakati
      9. Ukanushi wa Matukio
      10. Hali Mbalimbali za Hisia katika Mazungumzo
      11. Maelezo na Sentensi Zinazoeleweka
    2. Msamiati katika Kuzungumza na Kuwasilisha Hoja katika Miktadha Mbalimbali
      1. Majina ya Mavazi ya Kiume na Kike
      2. Majina ya Vinywaji Faida na Hasara zake
      3. Majina ya Mimea, Umuhimu wake kwa Binadamu
      4. Vifaa Vinavyotumika Zahanati
      5. Matumizi ya Wakati Uliopo, Ujao na Uliopita
    3. Uandishi katika Mawasiliano Kulingana na Miktadha Mbalimbali
      1. Alama za Uandishi katika Sentensi
      2. Alama za Uandishi katika Kifungu cha Habari
    4. Matumizi ya Msamiati katika Maandishi katika Kuandaa Matini Mbalimbali
      1. Uandishi wa Hadithi Fupi kwa Kutumia Majina ya Ndege
      2. Uandishi wa Kifungu cha Habari na Kubaini Maneno Mapya
      3. Uandishi wa Majina ya Mahali na Kueleza Shughuli Zinazofanyika Hapo