Kiswahili Form 2 Syllabus

    1. Matamshi bora
      1. Silabi tatanishi km pa/ba, sa/sha, la/ra, cha/sha, za/sa n.k.
      2. Sauti tatanishi k.m. b/mb, d/nd, g/ng, n.k.
      3. Vitate k.m. kua/kuwa
      4. Vitanza ndimi
    2. Maamkizi na mazungumzo
      1. Maamkizi na mazungumzo katika miktadha: Hotelini
      2. Maamkizi na mazungumzo katika miktadha: Hospitalini
      3. Maamkizi na mazungumzo katika miktadha: Posta
      4. Maamkizi na mazungumzo katika miktadha: Kituo cha polisi
      5. Mahojiano k.m. daktari na mgonjwa
      6. Majadiliano kati ya: Mwalimu na mzazi au mwalimu na mwanafunzi
      7. Mjadala k.m. utangamano shuleni.
      8. Hotuba
    3. Ufahamu wa kusikiliza
      1. Taarifa za ufahamu wa kusikiliza
      2. Hadithi: Visasili, mighani, hekaya
      3. Semi: Methali, misemo
      4. Semi: Vitendawili, mafumbo na chemsha bongo
      5. Semi: Tanakali za sauti
      6. Ushairi: Nyimbo
      7. Maigizo: Kutegemea shabaha na muktadha k.m. mkutano wa harambee au siasa
    1. Misingi ya maneno
      1. Mofimo: Maana, aina huru na tegemezi
      2. Mofimo: Aina huru na tegemezi
      3. Mofimo: Aina tegemezi
      4. Viambishi: Maana
      5. Viambishi: Aina awali
      6. Viambishi: Aina tamati
    2. Aina za maneno na migawanyo yake
      1. Nomino: Jumla/kawaida
      2. Nomino: Pekee
      3. Nomino: Dhahania
      4. Nomino: Kitenzi jina
      5. Nomino: Jamii
      6. Nomino: Nomino za wingi
      7. Vivumishi: Sifa
      8. Vivumishi: Vionyeshi
      9. Vivumishi: Vimilikishi
      10. Vivumishi: Viulizi
      11. Vivumishi: Idadi
      12. Vivumishi: Pekee
      13. Vivumishi: Majina
      14. Vivumishi: A-unganifu
      15. Vivumishi: Virejeshi
      16. Vivumishi: Visisitizi
      17. Vitenzi: Vitenzi halisi
      18. Vitenzi: Vitenzi vikuu
      19. Vitenzi: Viasaidizi
      20. Vitenzi: Vishirikishi vipungufu
      21. Vitenzi: Vishirikishi vikamilifu
      22. Vitenzi: Vitenzi sambamba
      23. Viwakilishi: Nafsi-huru
      24. Viwakilishi: Nafsi-tegemezi/viambata
      25. Viwakilishi: Ngeli
      26. Viwakilishi: Sifa
      27. Viwakilishi: Idadi
      28. Viwakilishi: Viulizi
      29. Viwakilishi: Vimilikishi
      30. Viwakilishi: -A-unganifu
      31. Viwakilishi: Pekee
      32. Viwakilishi: Visisitizi
      33. Vielezi: Namna/jinsi
      34. Vielezi: Wakati
      35. Vielezi: Idadi/kiasi
      36. Vielezi: Mahali
      37. Viunganishi
      38. Vihusishi
      39. Vihisishi
    3. Vinyume
      1. Vinyume vya vitenzi
    4. Nyakati na hali
      1. Hali za: Nge
      2. Hali za: Ngeli
      3. Hali za: Ngali
      4. Hali za: Po
    5. Sentensi ya Kiswahili
      1. Sentensi ambatano: Kirai
      2. Sentensi ambatano: Kikundi Nomino (KN)
      3. Sentensi ambatano: Kikundi Tenzi (KT)
      4. Upambanuzi wa sentensi ambatano kwa njia ya mstari
    6. Mnyambuliko wa Vitenzi
      1. Kauli za vitenzi: Kutendwa
      2. Kauli za vitenzi: Kutendewa
      3. Kauli za vitenzi: Kutendeka
      4. Kauli za vitenzi: Kutendana
      5. Kauli za vitenzi: Kutendeana
      6. Kauli za vitenzi: Kutendeshwa
      7. Kauli za vitenzi: Kutendeshana
      8. Kauli za vitenzi: Kutendeshea
    7. Uakifishaji
      1. Uakifishaji wa maandishi ya aina mbalimbali k.m. sentensi, aya, vifungu n.k
    8. Usemi halisi na usemi wa taarifa
      1. Usemi halisi
      2. Usemi wa taarifa
    9. Uundaji wa maneno
      1. Uundaji wa: Nomino kutokana na kitenzi
      2. Uundaji wa: Nomino kutokana na nomino
    10. Ukubwa na udogo
      1. Nomino katika hali ya: Wastani
      2. Nomino katika hali ya: Ukubwa
      3. Nomino katika hali ya: Udogo
    11. Ukanushaji
      1. Kukanusha kutegemea nafsi na: Wakati
      2. Kukanusha kutegemea nafsi na: Hali za nge
      3. Kukanusha kutegemea nafsi na: Hali za Ngeli
      4. Kukanusha kutegemea nafsi na: Hali za ngali
      5. Kukanusha kutegemea nafsi na: Hali za po
    12. Umoja na wingi
      1. Ngeli za nomino k.m. A-WA
      2. Ngeli za nomino k.m. U-I
      3. Ngeli za nomino k.m. LI-YA n.k
      4. Upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya viambishi: Awali vya vitenzi
      5. Upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya viambishi: Vya vivumishi vya sifa
      6. Upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya viambishi: Vya vivumishi vya pekee -enye
      7. Upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya viambishi: Vya vivumishi vya pekee -enyewe
      8. Upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya viambishi: Vya vivumishi vya pekee -ingine
      9. Upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya viambishi: Vya vivumishi vya pekee -ote
      10. Upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya viambishi: Vya vivumishi vya pekee -o-ote
      11. Upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya viambishi: Vya vivumishi vya pekee -ingineo
    1. Kusoma kwa sauti
      1. Sauti na maneno tatanishi k.m. p/b, s/sh, l/r, ch/sh, s/z (papa/baba, tata/dada susu/zuzu)
      2. Vitate k.m. kua/kuwa, pua/bua, vua/fua
      3. Maneno tatanishi yenye sauti mwambatano k.m. mbali/bali, buni/mbuni
      4. Sentensi zenye maana tatanishi
      5. Vitanza ndimi
      6. Vifungu na makala: Zingatia ujumbe, sarufi, msamiati na tamathali za semi
      7. Riwaya
      8. Ushairi: Mashairi ya arudhi
      9. Ushairi: Mashairi huru
      10. Tamthilia zingatia: Ujumbe
      11. Tamthilia zingatia: Msamiati
      12. Tamthilia zingatia: Miundo ya sentensi
      13. Tamthilia zingatia: Mbinu za kisani
      14. Tamthilia zingatia: Mafunzo na maadili yanayojitokeza
      15. Kusoma magazeti, majarida, vitabu, vya ziada, na makala yanayozingatia maswala ibuka kama vile: Afya, ukimwi, mazingira, maadili, jinsi, ufisadi, teknolojia/kompyuta
      16. matumizi ya maktaba
      17. Matumizi ya kamusi za aina mbalimbali k.m. kamusi ya kiswahili, kiswahili-kingereza, teknolojia n.k
    1. Uandishi wa kawaida
      1. Majibu ya ufahamu wa maandishi
      2. Muhtasari
      3. Imla
      4. Barua: Rasmi
      5. Barua: Risala
      6. Barua: Simu
      7. Hotuba
      8. Ratiba k.m. siku ya wazazi shuleni
      9. Matangazo
      10. Tahadhari: Ilani
      11. Tahadhari: Onyo
      12. Maagizo/maelekezo
      13. Shajara
      14. Risipe
      15. Orodha ya mambo
      16. Taarifa
      17. Mahojiano
      18. Dayolojia
    2. Uandishi wa Insha
      1. Maelezo
      2. Mazungumzo
      3. Mdokezo
      4. Methali
    3. Utungaji wa kisanii
      1. Hadithi fupi
      2. Mashairi
      3. Michezo ya kuigiza