Kiswahili
Kusoma
Kusoma
Kusoma kwa sauti
Sauti na maneno tatanishi k.m. p/b, s/sh, l/r, ch/sh, s/z (papa/baba, tata/dada susu/zuzu)
Vitate k.m. kua/kuwa, pua/bua, vua/fua
Maneno tatanishi yenye sauti mwambatano k.m. mbali/bali, buni/mbuni
Sentensi zenye maana tatanishi
Vitanza ndimi
Vifungu na makala: Zingatia ujumbe, sarufi, msamiati na tamathali za semi
Riwaya
Ushairi: Mashairi ya arudhi
Ushairi: Mashairi huru
Tamthilia zingatia: Ujumbe
Tamthilia zingatia: Msamiati
Tamthilia zingatia: Miundo ya sentensi
Tamthilia zingatia: Mbinu za kisani
Tamthilia zingatia: Mafunzo na maadili yanayojitokeza
Kusoma magazeti, majarida, vitabu, vya ziada, na makala yanayozingatia maswala ibuka kama vile: Afya, ukimwi, mazingira, maadili, jinsi, ufisadi, teknolojia/kompyuta
matumizi ya maktaba
Matumizi ya kamusi za aina mbalimbali k.m. kamusi ya kiswahili, kiswahili-kingereza, teknolojia n.k
Listening to this topic