Kiswahili Form 1 Syllabus
-
-
Matamshi bora
-
Kiimbo
-
Shadda
-
Irabu/vokali-/a/,/e/, /i/, /o/, /u/.
-
Konsonanti - /b/, /ch/,/d/, /dh/, /f/, /g/, /gh/, /h/,/j/, /k/,/l/,/m/, /n/,/ng'/, /ny/, /p/, /r/, /s/, /sh/, /t/, /th/, /v/, /w/, /y/, /z/.
-
Ala za sauti/kutamkia
-
Namna ya kutamka na aina za sauti k.m. ghuna, sighuna/hafifu, vipasuo, vikwamizo n.k
-
Silabi
-
Maneno
-
Vitate k.m. baba, papa
-
Vitanza ndimi
-
-
Maamkizi na mazungumzo
-
Maamkizi na mazungumzo ya: Nyumbani, dukani, mtaani.
-
Maamkizi na mazungumzo ya: Sokoni, shuleni
-
Mahojiano k.m. mwalimu na mwanafunzi.
-
Mijadala k.m. umoja na utangamano katika familia
-
Hotuba
-
-
Ufahamu wa kusikiliza
-
Ufahamu wa taarifa za kusikiliza
-
-
Kusikiliza na kudadisi
-
Utangulizi wa fasihi: Maana, Aina
-
Fasihi simulizi; Vipera vya fasihi simulizi hadithi-Utambaji,hurafa,hekaya.
-
Fasihi simulizi; Vipera vya fasihi simulizi hadithi-Semi-methali,vitandawili,mafumbo na chemsha bongo, misemo.
-
Fasihi simulizi; Vipera vya fasihi simulizi hadithi- Ushairi-nyimbo.
-
Maigizo: Yategemee shabaha na muktadha k.m. jandoni, sherehe za arusi n.k.
-
-
-
-
Lugha
-
Maana na dhima ya lugha
-
Sauti:Irabu/vokali
-
Sauti: Konsonanti, mpangilio wa sauti katika silabi na maneno
-
Sauti: Mpangilio wa sauti katika silabi na maneno
-
Vipashio vya lugha: Sauti-silabi-neno-sentensi.
-
-
Aina za Maneno
-
Aina za maneno: Nomino-N
-
Aina za maneno: Vitenzi-T
-
Aina za maneno: Viwakilishi-W
-
Aina za maneno: Vivumishi-V
-
Aina za maneno: Vielezi-E
-
Aina za maneno: Viunganishi-U
-
Aina za maneno: Vihusishi-H
-
Aina za maneno: Vihisishi-I
-
Kubainisha maneno katika tungo k.m. Mtoto(N) analia(T)
-
-
Ngeli za nomino
-
A-WA
-
U-I
-
U-YA
-
YA-YA
-
LI-YA
-
KI-VI
-
I-ZI
-
I-I
-
U-ZI
-
U-U
-
KU
-
PA-KU-MU
-
-
Viambishi
-
Maana
-
Aina-Awali na tamati
-
-
Nyakati na hali
-
Nyakati uliopita-LI-
-
Nyakati uliopo-NA-
-
Nyakati ujao-TA-
-
Hali timilifu-ME-
-
Hali ya mazoea-HU-
-
Ukanushaji kutegemea nafsi na: -Nyakati-LI-
-
Ukanushaji kutegemea nafsi na: -Hali -ME-HU-
-
-
Mnyambuliko wa vitenzi
-
Viambishi vya mnyambuliko
-
Kauli za vitenzi: Kutenda
-
Kauli za vitenzi: Kutendewa
-
Kauli za vitenzi: Kutendeka
-
Kauli za vitenzi: Kutendana
-
Kauli za vitenzi: Kutendea
-
Kauli za vitenzi: Kutendwa
-
Kauli za vitenzi: Kutendesha.
-
-
Sentensi ya Kiswahili
-
Maana ya sentensi
-
Mpangilio na uhusiano wa maneno kimantiki katika sentensi ya kiswahili
-
Muundo wa sentensi: Kirai
-
Muundo wa sentensi: Kikundi nomino (KN)
-
Muundo wa sentensi: Kikundi tenzi (KT)
-
Sentensi sahili -Upambanuzi wa sentensi sahili kuonyesha muundo wake kwa njia ya mstari
-
-
Uakifishaji
-
Alama za kuakifisha: Nukta/kitone/kikomo (.)
-
Mkato/kipumuo/koma (,)
-
Nukta mkato/semi koloni (;)
-
Nukta pacha/nukta mbili/koloni(:)
-
Kiulizi/kiulizo(?)
-
Alama hisi (!)
-
Alama mtajo/za kunukuu/za usemi (" ")
-
Mkwaju/mshazari (/)
-
Kistari kifupi (-)
-
Kistari kirefu (_)
-
Mstari (_)
-
Ritifaa/kibainishi(')
-
Mabano/vifungo/parandesi(), [ ]
-
Herufi kubwa (H) na herufi ndogo(h)
-
Herufi nzito (Hh)
-
Herufi mlazo/italiki (Hh)
-
Nukta za dukuduku/mdokezo (...)
-
Kinyota (*)
-
-
Ukubwa na udogo
-
Wastani wa nomino
-
Ukubwa wa nomino
-
Udogo wa nomino
-
-
Umoja na wingi
-
Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya:
-
Viambishi awali vya vitenzi
-
Kirejeshi -ambao-
-
Vionyeshi
-
Vimiliki
-
-
-
-
Kusoma kwa sauti
-
Sauti mwambatano k.m. /kw/, /mb/, /mw/, /ng/, /nj/, /nd/ n.k
-
Sentensi
-
Vifungu vya maneno na aya
-
-
Kusoma kwa ufahamu
-
Vifungu vya ufahamu
-
-
Kusoma kwa kina
-
Riwaya
-
Tamthilia
-
Ushairi: Mashairi ya arudhi
-
Ushairi: Mashairi huru
-
-
Kusoma kwa mapana
-
Kusoma magazeti, majarida, makala na vitabu vya zaidi huku wakizingatia maswala ikabu kama vile afya, Ukimwi, maadili, jinsia, haki za watoto, ajira ya watoto, ufisadi n.k
-
-
Matumizi ya maktaba
-
Maana, umuhimu na matumizi ya maktaba
-
-
Matumizi ya kamusi
-
Maana, aina, umuhimu na matumizi ya kamusi k.m. Kamusi ya visawe, teknolojia n.k.
-
-
-
-
Uandishi wa kawaida
-
Majibu ya ufahamu
-
Muhtasari
-
Imla
-
Uchambuzi wa maandishi mbalimbali
-
-
Utungaji wa kiuamilifu
-
Maana na dhima utungaji
-
Barua: Kirafiki
-
Barua: Rasmi
-
Hotuba
-
Ratiba kama vile ya sherehe ya kuzaliwa
-
Tahadhari: Onyo
-
Tahadhari: Ilani
-
Matangazo
-
Maagizo/maelekezo
-
Kujaza fomu, stakabadhi na orodha
-
Taarifa
-
Mahojiano na dayolojia
-
-
Uandishi wa insha
-
Maana na aina za insha: Picha
-
Maana na aina za insha: Mdokezo
-
Maana na aina za insha: Maelezo
-
Maana na aina za insha: Masimulizi
-
-
Utungaji wa kisanii
-
Mashairi mepesi
-
Hadithi fupi
-
Vitendawili, mafumbo na chemsha bongo,
-
Vitanza ndimi
-
-