Kiswahili
Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza na kuzungumza
Matamshi bora
Kiimbo
Shadda
Irabu/vokali-/a/,/e/, /i/, /o/, /u/.
Konsonanti - /b/, /ch/,/d/, /dh/, /f/, /g/, /gh/, /h/,/j/, /k/,/l/,/m/, /n/,/ng'/, /ny/, /p/, /r/, /s/, /sh/, /t/, /th/, /v/, /w/, /y/, /z/.
Ala za sauti/kutamkia
Namna ya kutamka na aina za sauti k.m. ghuna, sighuna/hafifu, vipasuo, vikwamizo n.k
Silabi
Maneno
Vitate k.m. baba, papa
Vitanza ndimi
Maamkizi na mazungumzo
Maamkizi na mazungumzo ya: Nyumbani, dukani, mtaani.
Maamkizi na mazungumzo ya: Sokoni, shuleni
Mahojiano k.m. mwalimu na mwanafunzi.
Mijadala k.m. umoja na utangamano katika familia
Hotuba
Ufahamu wa kusikiliza
Ufahamu wa taarifa za kusikiliza
Kusikiliza na kudadisi
Utangulizi wa fasihi: Maana, Aina
Fasihi simulizi; Vipera vya fasihi simulizi hadithi-Utambaji,hurafa,hekaya.
Fasihi simulizi; Vipera vya fasihi simulizi hadithi-Semi-methali,vitandawili,mafumbo na chemsha bongo, misemo.
Fasihi simulizi; Vipera vya fasihi simulizi hadithi- Ushairi-nyimbo.
Maigizo: Yategemee shabaha na muktadha k.m. jandoni, sherehe za arusi n.k.
Listening to this topic