Kiswahili Form 4 Syllabus

    1. Maamkizi na mazungumzo
      1. Maamkizi ya heshima kwa kuzingatia miktadha na taaluma mbalimbali viwandani
      2. Maamkizi ya heshima kwa kuzingatia miktadha na taaluma mbalimbali bungeni
      3. Mahojiano kwa mfano mwajiri na mwajiriwa
      4. Majadiliano baina ya watu wenye vyeo k.m. mabalozi wawili au marais wawili
      5. Mjadala kwa mfano ushirikiano wa kimataifa
      6. Hotuba
    2. Ufahamu wa kusikiliza
      1. Taarifa za ufahamu wa kusikiliza
    3. Kusikiliza na kudadisi
      1. Sifa bainifu za fasihi simulizi
      2. Sifa bainifu za fasihi andishi
      3. Muainisho wa fasihi simulizi semi: Methali
      4. Muainisho wa fasihi simulizi semi: Misemo
      5. Muainisho wa fasihi simulizi semi: Mafumbo
      6. Muainisho wa fasihi simulizi semi: Lakabu
      7. Muainisho wa fasihi simulizi semi: Misimu
      8. Muainisho wa fasihi simulizi: Masimulizi ya hadithi ngano
      9. Muainisho wa fasihi simulizi: Masimulizi ya hadithi miviga
      10. Muainisho wa fasihi simulizi: Masimulizi ya hadithi mighani
      11. Muainisho wa fasihi simulizi: Mazungumzo ulumbi
      12. Muainisho wa fasihi simulizi: Mazungumzo soga
      13. Muainisho wa fasihi simulizi: Mazungumzo malumbano ya utani
      14. Muainisho wa fasihi simulizi: Mazungumzo mawaidha
      15. Maigizo kutegemea shabaha na miktadha; miviga
      16. Ngomezi
      17. Ushairi; Nyimbo
      18. Ushairi; maghani
    1. Ngeli za nomino
      1. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya: Virejeshi 'O' na 'amba'
      2. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya: Vivumishi sifa
      3. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya: Vivumishi vimilikishi
      4. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya: Vivumishi viulizi
      5. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya: Vivumishi idadi
      6. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya: Vivumishi -A- unganifu
      7. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya: Vivumishi visisitizi
      8. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya: Vivumishi pekee
      9. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya: Vivumishi vionyeshi
    2. Aina mbalimbali za maneno
      1. Viunganishi: Kibantu
      2. Viunganishi: Asili ya kigeni k.m. fauka ya ilhali, sembuse, seuze n.k
      3. Nomino - jamii, pekee, kawaida, dhahania, wingi
      4. Vitenzi halisi
      5. Vitenzi vikuu
      6. Vitenzi vishirikishi vipungufu
      7. Vitenzi vishirikishi-vikamilifu
      8. Vitenzi visaidizi
      9. Vitenzi sambamba
      10. Viwakilishi - vionyeshi, 'O' rejeshi, nafsi, n.k.
      11. Vivumishi vimilikishi
      12. Vivumishi sifa
      13. Vivumishi viulizi
      14. Vielezi mahali
      15. Vielezi idadi
      16. Vihusishi
      17. Vihisishi
    3. Mwingiliano wa aina mbalimbali za maneno k.m. kivumishi kuwa nomino n.k.
      1. Mwingiliano wa aina mbalimbali za maneno k.m. kivumishi kuwa nomino n.k.
    4. Muundo wa sentensi ya Kiswahili
      1. Vijenzi vya sentensi: Miundo ya kikundi nomino (KN)
      2. Vijenzi vya sentensi: Miundo ya kikundi tenzi (KT)
      3. Vijenzi vya sentensi: Yambwa/Shamirisho (SH) -kipozo, -kitondo, -ala/kitumizi
      4. Vijenzi vya sentensi: Chagizo (CH)
      5. Vijenzi vya sentensi: Virai nomino
      6. Vijenzi vya sentensi: Virai vihusishi
      7. Vijenzi vya sentensi: Virai vivumishi
      8. Vijenzi vya sentensi: Virai vielezi
      9. Vijenzi vya sentensi: Vishazi huru
      10. Vijenzi vya sentensi: Vishazi tegemezi
    5. Uchanganuzi wa sentensi sahihi, ambatano na changamano kwa njia ya jedwali, mchoro wa matawi na mistari
      1. Uchanganuzi wa sentensi sahihi, ambatano na changamano kwa njia ya jedwali, mchoro wa matawi na mistari
    6. Mnyambuliko wa vitenzi
      1. Mnyambuliko wa vitenzi vya asili ya kigeni
      2. Mnyambuliko wa vitenzi vya silabi moja
      3. Mnyambuliko wa vitenzi vya asili ya kibantu
    7. Nyakati na hali
      1. Nyakati: LI, NA, TA.
      2. Hali: ME, HU
      3. Hali: NGE, NGELI, NGALI
      4. Hali: PO, A
      5. Hali: KA, KI, KU.
      6. Hali ya kuamuru
      7. Ukanushaji kutegemea nafasi na: Nyakati
      8. Ukanushaji kutegemea nafasi na: Hali
    8. Uakifishaji
      1. Kuakifisha maandishi ya aina mbalimbali
      2. Usemi halisi
      3. Usemi wa taarifa
    9. Uundaji wa maneno
      1. Nomino kutokana na mzizi wa nomino.
      2. Nomino kutokana na mzizi wa kitenzi.
      3. Kitenzi kutokana na mzizi wa nomino.
      4. Kivumishi kutokana na mzizi wa nomino.
      5. Nomino kutokana na mzizi wa kivumishi.
      6. Kivumishi kutokana na mzizi wa kitenzi.
      7. Kitenzi kutokana na mzizi wa kivumishi.
    10. Matumizi ya maneno na viambishi maalum
      1. Viambishi -ku-
      2. Viambishi -ndi-
      3. Viambishi -ji-
      4. Maneno; jinsi
      5. Maneno; namna
      6. Maneno; ila
      7. Maneno; japo
      8. Maneno; ijapokuwa
      9. Maneno; ingawa
      10. Maneno; ingawaje
      11. Maneno; ikiwa
      12. Maneno; wala
      13. Maneno; walakini
      14. Maneno; kwa
      15. Maneno; labda
      16. Maneno; na
    11. Umoja na wingi
      1. Ngeli za nomino na viambishi vya upatanisho
    12. Vitenzi
      1. Mzizi wa kitenzi.
      2. Viambishi awali na tamati vya vitenzi
      3. Hali ya kuamuru
      4. Ukanushaji
    1. Kusoma kwa sauti
      1. Tungo za wanafunzi
      2. Vitabu viteule
      3. Matangazo
      4. Ripoti za wahariri wa magazeti
    2. Kusoma kwa ufahamu
      1. Taarifa za ufahamu
    3. Kusoma kwa kina
      1. Kusoma vitabu viteule: Riwaya
      2. Kusoma vitabu viteule: Tamthilia
      3. Kusoma vitabu viteule: Ushairi -mashairi ya arudhi
      4. Kusoma vitabu viteule: Ushairi -mashairi huru
      5. Hadithi fupi: Hakiki kwa kuzingatia; usuli
      6. Hadithi fupi: Hakiki kwa kuzingatia;dhamira
      7. Hadithi fupi: Hakiki kwa kuzingatia; maudhui
      8. Hadithi fupi: Hakiki kwa kuzingatia; wahusika
      9. Hadithi fupi: Hakiki kwa kuzingatia; miundo
      10. Hadithi fupi: Hakiki kwa kuzingatia; mtindo
      11. Hadithi fupi: Hakiki kwa kuzingatia; matumizi ya lugha na tamathali za semi
      12. Hadithi fupi: Hakiki kwa kuzingatia; mafunzo na maadili
      13. Historia na maendeleo ya kiswahili: Lugha ya Kiswahili baada ya uhuru nchini Kenya
      14. Historia na maendeleo ya kiswahili: Wajibu wa Kiswahili kitaifa na kimataifa
      15. Historia na maendeleo ya kiswahili: Matatizo yanayoikumba lugha ya kiswahili
      16. Historia na maendeleo ya kiswahili: Mikakati inayofaa kuimarisha lugha ya Kiswahili
    4. Kusoma kwa mapana
      1. Kusoma: Vitabu vya ziada
      2. Kusoma: Magazeti
      3. Kusoma: Majarida
      4. Kusoma: Makala ya runinga na redio
      5. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile afya na ukimwi
      6. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile mawasiliano
      7. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile wavuti
      8. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile biashara
      9. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile teknolojia
      10. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile viwanda
      11. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile ufisadi
      12. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile haki za watoto
      13. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile ajira ya watoto
      14. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile jinsia
      15. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile haki za binadamu
      16. Kusoma: Makala mbalimbali ya kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile katiba na utawala
    1. Uandishi wa kawaida
      1. Majibu ya ufahamu na uchanganuzi
      2. Muhtasari
      3. Tahakiki za kazi za kisanii
    2. Utungaji wa kiuamilifu
      1. Barua: Kirafiki
      2. Barua: Rasmi
      3. Barua: Memo
      4. Barua: Simu
      5. Barua: Meme - nukulishi
      6. Barua: Meme - mdahilishi
      7. Barua: Meme - ujumbe wa rununu/simu-tamba
      8. Barua: Kwa mhariri
      9. Hotuba
      10. Ratiba k.m. tamasha za michezo ya kuigiza
      11. Matangazo
      12. Maagizo/maelekezo
      13. Tahadhari; ilani
      14. Tahadhari; onyo
      15. Tawasifu
      16. Wasifu
      17. Kumbukumbu
      18. Mahojiano na dayolojia
      19. Insha za kitaaluma k.m. makala ya redio na runinga
    3. Uandishi wa insha
      1. Masimulizi
      2. Mazungumzo
      3. Mawazo
      4. Maelezo
    4. Utungaji wa kisanii
      1. Mashairi: Mashairi ya arudhi
      2. Mashairi: Mashairi huru
      3. Mikusanyiko ya kazi za kisanii