Kiswahili Form 3 Syllabus

    1. Maamkizi na mazungumzo
      1. Maamkizi ya hesima na mazungumzo katika mazingira ya sehemu za kuabudu
      2. Maamkizi ya hesima na mazungumzo katika mazingira ya ofisini kwa mtawala
      3. Maamkizi ya hesima na mazungumzo katika mazingira ya mahakamani
      4. Mahojiano kama vile baina ya wataalamu wawili
      5. Mjadala kama vile umoja wa kitaifa
      6. Hotuba
    2. Ufahamu wa kusikiliza
      1. Taarifa za ufahamu wa kusikiliza
    3. Kusikiliza na Kudadisi
      1. Dhima ya fasihi kwa jumla
      2. Umuhimu wa fasihi simulizi
      3. Muainisho wa fasihi simulizi: Mazungumzo malumbano ya utani
      4. Muainisho wa fasihi simulizi: Mazungumzo Ulumbi
      5. Muainisho wa fasihi simulizi: Mazungumzo soga
      6. Muainisho wa fasihi simulizi: Mazungumzo mawaidha
      7. Masimulizi ya hadithi mighani
      8. Masimulizi ya hadithi visasili
      9. Masimulizi ya hadithi ngano
      10. Masimulizi ya hadithi miviga
      11. Miviga
      12. Maigizo kutegemea shabaha
      13. Ushairi wa nyimbo
      14. Ushairi wa maghani
      15. Semi
      16. Methali
      17. Vitendawili
      18. Mafumbo
      19. Lakabu
      20. Misimu
      21. Ngomezi-fasihi ya ngoma kuhusu ujumbe
    1. Umoja na wingi
      1. Ngeli za nomino ba upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya viulizi
      2. Ngeli za nomino ba upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya idadi
      3. Ngeli za nomino ba upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya -A- unganifu
      4. Ngeli za nomino ba upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya virejeshi 'O' na 'amba-'
      5. Ngeli za nomino ba upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya visisitizi
      6. Ngeli za nomino ba upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya pekee -enye, -enyewe
      7. Ngeli za nomino ba upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya pekee -ote, -o-te
      8. Ngeli za nomino ba upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya pekee -ingine, -ingineo
    2. Vielezi
      1. Vielezi vya namna: Vikariri
      2. Vielezi vya namna: Halisi
      3. Vielezi vya namna: Mfanano
      4. Vielezi vya namna: Hali
      5. Vielezi vya namna: Ala/vitumizi
      6. Vielezi vya namna: Viigizi
      7. Vielezi vya wakati: Viambishi
      8. Vielezi vya wakati: Maneno kamili
      9. Vielezi vya Idadi/kiasi: Idadi halisi
      10. Vielezi vya Idadi/kiasi: Idadi ya jumla
      11. Vielezi vya Mahali: Viambishi
      12. Vielezi vya Mahali: Maneno kamili
    3. Viwakilishi
      1. Vionyeshi
      2. Vimilikishi
      3. Viulizi
      4. Virejeshi
      5. -A- unganifu
      6. Sifa
      7. Nafsi
      8. Ngeli
      9. Pekee
      10. Idadi
    4. Mwingiliano wa maneno mbalimbali
      1. Mwingiliano wa maneno mbalimbali k.m. nomino kuwa kivumishi n.k.
      2. Mwingiliano wa maneno mbalimbali k.m. kivumishi kuwa kiwakilishi
    5. Vitenzi
      1. Mzizi wa kitenzi
      2. Viambishi awali katika vitenzi k.m. nafsi
      3. Viambishi awali katika vitenzi k.m. virejeshi
      4. Viambishi tamati katika vitenzi k.m. viishio,
      5. Viambishi tamati katika vitenzi k.m. virejeshi
      6. Viambishi tamati katika vitenzi k.m. mnyambuliko n.k.
      7. Vinyume vya vitenzi
      8. Hali ya kuamrisha
    6. Uundaji wa nomino
      1. Nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni
    7. Sentensi ya kiswahili
      1. Aina za virai: Vihusishi
      2. Aina za virai: Nomino
      3. Aina za virai: Vivumishi vielezi
      4. Aina za virai: Vishazi: Huru
      5. Aina za virai: Vishazi: Tegemezi
      6. Muundo wa sentensi; miundo ya kikundi / nomino (KN)
      7. Muundo wa sentensi; miundo ya kikundi / tenzi (KT)
      8. Muundo wa sentensi; yambwa/shamirisho (SH): Kipozi
      9. Muundo wa sentensi; yambwa/shamirisho (SH): Kitondo
      10. Muundo wa sentensi; yambwa/shamirisho (SH): Ala/kitumizi
      11. Muundo wa sentensi: Chagizo (CH)
      12. Aina za sentensi: Sahili
      13. Aina za sentensi: Ambatano
      14. Aina za sentensi: Changamano
      15. Uchanganuzi wa sentensi kwa njia ya jedwali
      16. Uchanganuzi wa sentensi kwa njia ya mchoro wa matawi
    8. Nyakati na hali
      1. Nyakati LI-, -NA-, -TA-
      2. Hali ya, -KI-, -KA-, -A-
      3. Hali ya, -PO-, -KU-
    9. Ukanushaji
      1. Ukanushaji kulingana na nafsi na nyakati LI-, -NA-, -TA-
      2. Ukanushaji kulingana na nafsi na hali -ME-, -HU-
      3. Ukanushaji kulingana na nafsi na hali -NGE-, -NGALI-
      4. Ukanushaji kulingana na nafsi na hali -KI-, -KA-, -A-
      5. Ukanushaji kulingana na nafsi na hali -PO-, -KU-
    10. Uakifishaji
      1. Matumizi ya alama za kuakifisha mbalimbali
    11. Mnyambuliko wa vitenzi
      1. Kauli za vitenzi vya kibantu: Kutendeshewa
      2. Kauli za vitenzi vya kibantu: Kutendesheana
      3. Kauli za vitenzi vya kibantu: Kutendesheka
      4. Kauli za vitenzi vya kibantu: Kutendama
      5. Kauli za vitenzi vya kibantu: Kutendata
      6. Kauli za vitenzi vya kibantu: Kutendua
      7. Kauli za vitenzi vya kibantu: Kutenduka
      8. Mnyambuliko wa vitenzi vya silabi moja katika kauli mbalimbali: ja, nywa
      9. Mnyambuliko wa vitenzi vya silabi moja katika kauli mbalimbali: nya, pa
      10. Mnyambuliko wa vitenzi vya silabi moja katika kauli mbalimbali: fa, la,
      11. Mnyambuliko wa vitenzi vya silabi moja katika kauli mbalimbali: cha, pwa, wa
      12. Mnyambuliko wa vitenzi vyenye asili ya kigeni k.m. samehe, ghairi, tubu n.k. katika kauli mbalimbali
    1. Kusoma kwa sauti
      1. Kusoma kazi walizotunga wanafunzi
      2. Kusoma magazeti wakizingatia tahariri
      3. Kusoma magazeti wakizingatia habari za kitaifa na kimataifa
      4. Kusoma magazeti wakizingatia barua kwa mhariri
      5. Kusoma magazeti wakizingatia ripoti za michezo
    2. Kusoma kwa ufahamu
      1. Taarifa za ufahamu
    3. Kusoma kwa kina
      1. Kusoma vitabu viteule: Riwaya
      2. Kusoma vitabu viteule: Tamthilia
      3. Kusoma vitabu viteule: Ushairi - mashairi ya arudhi
      4. Kusoma vitabu viteulizi: Ushairi - mashairi huru
      5. Kusoma vitabu viteulizi: Hadithi fupi
      6. Historia na maendeleo ya Kiswahili chimbuko, maenezi na usanifishaji wa lugha ya Kiswahili nchini Kenya
    4. Kusoma kwa mapana
      1. Kusoma magazeti, majarida au makala na kuchanganua maswala ibuka kuhusu: Afya na Ukimwi
      2. Kusoma magazeti, majarida au makala na kuchanganua maswala ibuka kuhusu: Mazingira
      3. Kusoma magazeti, majarida au makala na kuchanganua maswala ibuka kuhusu: Jinsia
      4. Kusoma magazeti, majarida au makala na kuchanganua maswala ibuka kuhusu: Haki za watoto
      5. Kusoma magazeti, majarida au makala na kuchanganua maswala ibuka kuhusu: Haki za kibinadamu
      6. Kusoma magazeti, majarida au makala na kuchanganua maswala ibuka kuhusu: Ajira ya watoto
      7. Kusoma magazeti, majarida au makala na kuchanganua maswala ibuka kuhusu: Usalama barabarani
      8. Kusoma magazeti, majarida au makala na kuchanganua maswala ibuka kuhusu: Ufisadi
      9. Kusoma magazeti, majarida au makala na kuchanganua maswala ibuka kuhusu: Mafunzo na maadili
      10. Kusoma magazeti, majarida au makala na kuchanganua maswala ibuka kuhusu: Katiba na utawala
    1. Uandishi wa kawaida
      1. Majibu ya ufahamu na uchanganuzi
      2. Muhtasari
      3. Tahakiki za kazi za kisanii
    2. Utungaji wa kiuamilifu
      1. Barua rasmi
      2. Barua kwa mhariri
      3. Barua mialiko
      4. Barua meme: Nukulishi
      5. Barua meme: Mdahilishi
      6. Barua meme: Ujumbe wa rununu/simu-tamba
      7. Hotuba
      8. Ratiba k.m. sherehe za aruri
      9. Tahadhari: Ilani
      10. Tahadhari: Onyo
      11. Matangazo
      12. Maagizo/maelekezo
      13. Tawasifu
      14. Wasifu
      15. Resipe
      16. Kumbukumbu
      17. Ripoti
      18. Mahojiano na dayolojia
      19. Kujaza fomu na hojaji
      20. Insha za kitaaluma k.m. makala ya redio na runinga
    3. Uandishi wa insha
      1. Maelezo
      2. Mawazo
      3. Mazungumzo
      4. Masimulizi
      5. Methali
      6. Utungaji wa kisanii
    4. Michezo ya kuigiza
      1. Mikusanyo ya kazi ya fasihi simulizi
      2. Mashairi: Arudhi
      3. Mashairi: Huru