Kiswahili
Kuonesha uelewa wa jambo alilosikiliza
Kuonesha uelewa wa jambo alilosikiliza
Kutumia msamiati katika kusoma na kuchanganua mawazo yaliyo wasilishwa katika matini mbalimbali
Kusoma sentensi na kubaini maneno yanayoonesha umiliki na kubadili sentensi hizo kuwa katika kinyume
Kusoma sentensi na kubaini maneno ya ulinganishi wa vitu na watu (kama, sawa na, kama vile, sawasawa) ili kujenga dhana ya ulinganishi
Kusoma kifungu cha habari na kubaini majina ya miti
Kusoma na kubaini majina ya wanyama wanaokula majani na kueleza sifa na faida zao
Kusoma na kubaini majina ya wanyama wanaokula nyama na kuelezea sifa na faida zao katika jamii
Kusoma kwa ufasaha na kuonesha uelewa wa matini mbalimbali
Kusoma kimya kifungu cha habari na kujibu maswali
Kusoma ili kubaini mawazo makuu kutoka katika habari teule
Kubaini taarifa mahususi za kila siku kutoka katika majarida, matangazo na ratiba mbalimbali na kufanya ufupisho wake
Kubaini wahusika katika kifungu cha habari na kuwatolea ufafanuzi
Kubaini miundo kutoka katika kifungu cha habari kinachohusu watoto wanaoishi katika mazigira magumu
Kusoma ngonjera kwa sauti ya kutamba na kubaini maudhui yake
Kusoma tenzi kwa sauti ya kishairi na kubaini ujumbe wake
Kusoma mashairi kwa sauti ya kishairi na kubainisha mawazo makuu yaliyojitokeza
Kusikiliza na kuonesha uelewa wa jambo alilolisikiliza
Kuchambua kauli taarifa kwa kubainisha nafsi na nyakati za utendaji
Kuchambua kauli halisi kwa kubainisha nafsi na nyakati za utendaji
Kubaini maudhui yaliyomo katika igizo dhima na kuchambua hoja kuu zilizojitokeza
Kutegua vitendawili na kuonesha umuhimu wake katika jamii
Listening to this topic