Sayansi

Kufahamu Misingi ya Sayansi na Teknolojia
♿ Accessibility: | | | |

Kufahamu Misingi ya Sayansi na Teknolojia

Kufanya majaribio ya kisayansi kwa usahihi
Kufanya majaribio kuchunguza mwali wa mwanga unavyopinda ukitua katika lenzi
Kufanya vitendo vya kuzalisha umeme kwa kutumia dainamo na seli
Kutumia vipimo rasmi katika jaribio la kisayansi
Kufanya majaribio kuchunguza nishati ya mwanga inapotua katika kioo mbinuko na mbonyeo
Kufanya majaribio kuhusu nishati jadidifu
Kutumia vipimo visivyo rasmi
Kueleza dhana ya vipimo katika kufanya majaribio ya kisayansi
Kufanya majaribio kuhusu nishati ya umeme
Kufanya majaribio kupima joto la maji na joto la mwili wa binadamu
Kumudu stadi za kisayansi
Kufanya vitendo vya kutumia mashine rahisi
Kufanya vitendo vya kutunza vifaa vya kurahisisha kazi
Kukokotoa kiasi cha kazi
Kueleza dhana ya kazi
Kufahamu vifaa vya kurahisisha kazi
Kufanya vitendo vya kuonesha jitihada, mzigo na egemeo katika wenzo
Kubaini mashine rahisi
Kubaini vifaa vya kurahisisha kazi
Kukokotoa thamani ya mzigo, jitihada katika roda
Kubaini mashine sahili za roda (gurudumu kapi)
Kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
Kueleza namna ya kutumia simu katika kujifunza
Kufanya vitendo vya kucheza michezo katika kompyuta (gemu) mbalimbali zinazokuza stadi za (KKK)
Kutumia simu na kompyuta kutafuta taarifa za kisayansi
Kufanya vitendo vya kutumia injini pekuzi kutafuta taarifa za kisayansi na kiteknolojia
Kufanya vitendo vya kutumia kompyuta (programu andishi)
Kutumia simu
Kueleza dhana ya mawasiliano
Kueleza tahadhari za kuzingatia wakati wa kutumia kompyuta
Kufanya vitendo vya kutumia barua pepe
Kueleza dhana ya barua pepe
Kueleza dhana ya kompyuta
Kueleza athari za mtandao wa intaneti
Kueleza dhana ya usalama wa mtandao wa intaneti
Kufanya vitendo vya kutumia programu jedwali
Listening to this topic